akizungumza na kipindi cha amplifire kinachorushwa na radio clouds msemaji wa kundi hilo Nick wa Pili amesema kuwa kufuatia tukio hilo kampuni ya weusi imesimamisha kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na kundi hilo kwa kipindim kisichojulikana.
Wakati huo huo aliyewahi kuwa mpenzi wa mawanamuziki huyo Rehema Chalamila katika ukurasa wake wa Twitter amemtaka mwanamuziki huyo kubadilika kwani yeye bado umri wake ni mdogo na pia unamruhusua kuendeleza kipaji chake alichonacho.
MWANAMUZKI WA KUNDI LA NAKO 2 NAKO NA WEUSI KUTOKA JIJI ARUSHA LORD EYEZ
0 comments:
Post a Comment