`

Home » » VIDEO MVUA KUBWA ILIVYOHARIBU MIUNDOMBINU YA SHULE MBILI NA MAKAZI YA WATU MJINI MUSOMA...

VIDEO MVUA KUBWA ILIVYOHARIBU MIUNDOMBINU YA SHULE MBILI NA MAKAZI YA WATU MJINI MUSOMA...



MVUA kubwa iliyoambatana na upepo mkali imenyesha usiku wa kuamkia leo na kuharibu vibaya miundombinu ya umeme, makazi ya watu yakiwemo madarasa 7, ofisi za walimu, maabara na hostel katika shule ya msingi na sekondari ya Kiara zilizopo manispaa ya Musoma mkoani Mara hali iliyozua taharuki kwa wakazi maeneo hayo wakiwemo walimu na wanafunzi wa shule hizo. 
 

0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK