`

? WANAFUNZI WAUNGANA NA WALIMU WAO KUANZISHA SHAMBA LA MFANO LA PAMBA  ? FUATILIA MKASA WA KUSISIMUA WA KIJANA FABBY KUTOKA MKOANI MTWARA SEHEMU YA KWANZA  ? VIDEO MVUA KUBWA ILIVYOHARIBU MIUNDOMBINU YA SHULE MBILI NA MAKAZI YA WATU MJINI MUSOMA...  ? Yanga yafanya kikao kizito kuiua St. Louis  ? VIDEO: Okwi awapeleka Simba Misri  ? Audio | Nikki Mbishi – Nimekumiss | Mp3 Download  ? Audio | Lava Lava – Utatulia (Piano Version) | Download Mp3  ? YALIYOJIRI SHINYANGA KATIKA MECHI YA SIMBA NA MWADUI LEO KATIKA VPL  ? MKURUGENZI IMARA SACCOS AJITOSA KUGOMBEA URAIS,KESHO KUTANGAZA NIA  ? AJALI YA MOTO MTO MARA YAUA WATOTO WAWILI    undefined

WANAFUNZI WAUNGANA NA WALIMU WAO KUANZISHA SHAMBA LA MFANO LA PAMBA

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table...

FUATILIA MKASA WA KUSISIMUA WA KIJANA FABBY KUTOKA MKOANI MTWARA SEHEMU YA KWANZA

FABI KIJANA KUTOKA MKOANI MTWARA… FABI SIKU MOJA AKIWA ANACHIMBA JALALA AKIWA NA WENZAKE WAWILI NA WAKATI HUO ILIKUWA NI ZAMU YAKE KUWA SHIMONI WAKATI ANACHIMBA GHAFLA NDANI YA SHIMO LA JALALA ALILIGONGA JIWE GHAFLA JIWE LILE LILIANZA KUTOA DAMU NA KISHA UKATOKA MWANGA MKALI SANA HAPO HAPO FABBY AKAANGUKA NDANI NA KUZIMIA WENZAKE WAKIWA NJE YA SHIMO NA STORI ZIMENOGA BAADA WANASHANGAA UKIMYA SHIMONI NDIMO KUMCHUKUA NA KUMPELEKA NDANI.   FABI AKIWA AMELALA KITANDANI GHAFLA ANASHTUSHWA NA WANGA MKALI AMBAPO WAKATI HUO AKIWA AMEZUNGUKWA NA WATU WENGI PALE KITANDANI IKIWA NI PAMOJA NA MAMA YAKE WANAULIZANA KULIKONI BASI KATIKA...

VIDEO MVUA KUBWA ILIVYOHARIBU MIUNDOMBINU YA SHULE MBILI NA MAKAZI YA WATU MJINI MUSOMA...

MVUA kubwa iliyoambatana na upepo mkali imenyesha usiku wa kuamkia leo na kuharibu vibaya miundombinu ya umeme, makazi ya watu yakiwemo madarasa 7, ofisi za walimu, maabara na hostel katika shule ya msingi na sekondari ya Kiara zilizopo manispaa ya Musoma mkoani Mara hali iliyozua taharuki kwa wakazi maeneo hayo wakiwemo walimu na wanafunzi wa shule hizo.   ...

Yanga yafanya kikao kizito kuiua St. Louis

By:CHAGABOY Saa chache kabla ya pambano lao dhidi ya St. Louis, benchi la ufundi na wachezaji wa Yanga wamekaa kikao cha takribani saa moja na nusu kuweka mikakati ya mwisho ya kuwamaliza wapinzani wao.Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Reef Holiday ambako timu hiyo imefikia tangu ilipofika Shelisheli.Kikao hicho cha kupeana mikakati na mbinu za kiufundi, kiliongozwa na Kocha Mkuu, George Lwandamina na wasaidizi wake Nsajigwa Shadrack na Noel Mwandila.Hali ya usiri ilitawala katika kikao hicho kwani zaidi ya wahusika, hakuna mtu mwingine aliyeruhusiwa kuhudhuria. ...

VIDEO: Okwi awapeleka Simba Misri

By: CHAGABOY Mchezaji wa simba raia wa Uganda Emmanuel Okwi ndiye ailiyeibuka kinara leo katka mechi ya marudiano kati ya Gendarmarie na Simba iliyopigwa hii leo,Huku mshambuliaji huyo akiipatia Simba goli kunako dadika ya 55 kipindi cha pili na kuifanya Simba kuibuka na usindi wa bao moja .Na hivyo kuifanya Simba kusonga mbele katika michuan ya kombe la shirikisho Africa ...

Audio | Nikki Mbishi – Nimekumiss | Mp3 Download

Audio | Nikki Mbishi – Nimekumiss ...

Audio | Lava Lava – Utatulia (Piano Version) | Download Mp3

Audio | Lava Lava – Utatulia (Piano Version) ...

YALIYOJIRI SHINYANGA KATIKA MECHI YA SIMBA NA MWADUI LEO KATIKA VPL

MPIRA UMEKWISHAAAAAAA -KADI Sangija analambwa kadi ya njano kwa kuzuia mpira haujapigwa -Krosi ya Kichuya, mpira unaokowa na kuwa kona, inachongwa, haina manufaa DAKIKA 5 ZA NYONGEZA KADI Dk 90 Mobi analambwa kadi ya njano  GOOOOOOOOOOO Dk 89 Nonga anaunganisha vizuri mpira wa faulo na kumshinda Manula  Dk SUB Dk 87 Simba wanamtoa Mavugo aliyeingia na nafasi yake inachukuliwa na Bukaba kuongeza ulinzi  KADI Dk 84, Juuko analambwa kadi ya pili ya njano na kuwa NYEKUDNU Dk 84, Kichuya anaachia mkwaju wa adhabu lakini Massawe anazidi kuonyesha yuko vizuri Dk 83, Simba wanapaswa kuwa makini kwa kuwa MWadui wanaonekana...

MKURUGENZI IMARA SACCOS AJITOSA KUGOMBEA URAIS,KESHO KUTANGAZA NIA

MJASIRIAMALI KUTANGAZA NIA KUGOMBEA  URAIS NI BONIPHACE NDENGO AMBAYE NI MKURUGENZI IMARA SACCOS KESHO, KWENDA KUCHUKUA FOMU JUMANNNE DODOMA BONIPHACE NDENGO NA AHMAD NANDONDE, Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...
Pages (37)1234 »
 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK