 |
By: CHAGABOY
Mchezaji wa simba raia wa Uganda Emmanuel Okwi ndiye ailiyeibuka kinara leo katka mechi ya marudiano kati ya Gendarmarie na Simba iliyopigwa hii leo,Huku mshambuliaji huyo akiipatia Simba goli kunako dadika ya 55 kipindi cha pili na kuifanya Simba kuibuka na usindi wa bao moja .Na hivyo kuifanya Simba kusonga mbele katika michuan ya kombe la shirikisho Africa
|
0 comments:
Post a Comment