`

Home » » BARUTI FC YA MUSOMA KESHO KUTUPA KARATA YAKE NYINGINELIGI DARAJA LA TATU.

BARUTI FC YA MUSOMA KESHO KUTUPA KARATA YAKE NYINGINELIGI DARAJA LA TATU.



"Ikiwa katika hali nzuri na yenye kutia Matumaini Kesho kikosi cha Baruti Fc Majira ya saa kumi kinashuka dimbani katika uwanja wa kumbukumbu ya Karume mjini Musoma kupambana na timu ya Musoma Shooting mchezo ambapo ni muhimu kwa timu zote katika kumpata Bingwa wa Mkoa wa Mara.

-Musoma Shootingi ina point 6 imefunga 4 imefungwa 2
-Baruti Fc ina Point 3 imefunga 6 imefungwa 2
-JKT Rwamkoma ina point 3 imefunga 3 imefungwa 3
-Wasaga Fc ina point 0 imegunga 1 imefungwa 7

BARUTI FC V/S MUSOMA SHOOTING saa kumi kamili uwanja wa Karume
JKT RWAMKOMA V/S WASAGA FC saa kumi kamili Uwanja wa Posta.

Ni kwa mujibu wa Afisa habari wa timu hiyo Augastin Mgendi.


KIKOSI CHA BARUTI FC.

0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK