SHIRIKA
LA UMEME TANZANIA
TAARIFA
YA KATIZO LA UMEME ‘LINE’ ZA BUTIAMA NA
MAKOKO
JUMAPILI
TAREHE 13/04/2014 SAA 3 ASUBUHI HADI SAA 11 JIONI
Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa MARA kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama
ifuatavyo:-
KUANZIA: Tarehe
13/04/2014 siku ya Jumapili
SAA: Saa 03: 00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni
SABABU: Matengenezo
katika transfoma kubwa ya T3 Mwanza.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mmazami,Sabasaba,ButuguruOswadi,Mang'ombe,Kiabakari,Madaraka,Jeshini,Butiama
centre, Busegwe, Mryaza, Bumangi, Buhemba, Mgango genery, Bwai,Nyamuswa,
Ikizu,Zerozero, na maeneo ya jirani.
Nyakato,Kigera,Mara
secondary school,Kamnyonge,Makoko,Buhare,Bukanga fishery,JWTZ Itaro,JWTZ
Makoko,Nyegina, Nyasho mlango mmoja, Coptic hospital na maeneo ya jirani.
Tafadhali usiguse wala
kukanyaga waya uliokatika au kudondoka chini, toa taarifa Ofisi za TANESCO
zilizo karibu nawe.
Wasiliana
nasi kupitia namba za simu zifuatazo: - 0683 165087, 028 2622 020 ofisi
ya TANESCO Musoma.
Uongozi unasikitika kwa
usumbufu wowote utakaojitokeza.
KUMBUKA
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO!
IMETOLEWA NA MENEJA WA TANESCO MKOANI MARA.
0 comments:
Post a Comment