MWANDISHI : Mohammed Neto we kabila gani?
Mohamed Neto : Mi kabila langu mmmh. . Msambaa ( akibabaika )
Mwandishi habari wa clouds akamwongelesha kilugha
Mtangazaji Clouds : ongamshi mgosi mwinuka zeze (sijui Kama nipo sahihi)
Mohamed Neto : oooh!mmmmmm! Aaaaa Nina kifua mmmmh!
Eti ana kifua hawezi kujibu . .
NAANZA KUPATA SHAKA KUHUSU NETO NA YAWEZEKANA MADAI YA YANGA YANA UKWELI NDANI YAKE. .
MOHAMMED NETTO WA MGAMBO AKIFANYA MAVITUZI UWANJANI.
Home »
» MCHEZAJI ALIYEKUTWA NA HIRIZI ASHINDWA KUJIBU SWALI LA MWANDISHI ABANWA NA KIKOHOZI GHAFLA NI MOHAMMED NETTO WA MGAMBO JKT.
0 comments:
Post a Comment