BUTIAMA.
WANANCHI WA
KIJIJI CHA MWIBAGI KATA YA KYANYARI WAMEOMBWA KUCHANGIA MAENDELEO YA UJENZI WA
SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI PAMOJA NA MASUALA MENGINE YA KIJAMII NDANI YA KATA
HIYO.
KAULI HIYO
IMETOLEWA LEO NA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA UMOJA WA VIJANA UVCCM WILAYANI
BUTIAMA BW. MGINGI MHOCHI WAKATI WA HARAMBEE YA UCHANGISHAJI WA MIUNDOMBINU YA
UJENZI WA KANISA LA TAG LILILOPO KATIKA KIJIJI CHA MWIBAGI.
AMESEMA KUWA ILI
KWENDA SAMBAMBA NA MPANGO WA SERIKALI WA MATOKEO MAKUBWA SASA BRN NI WAZI KUWA
KILA MWANANCHI ANATAKIWA KUWA NA MOYO WA KUSAIDIA HUSUSANI KATIKA SEKTA YA
ELIMU NDIYO MSINGI WA MAENDELEO YA KILA MWANADAMU.
KATIKA KUTAMBUA
UMUHIMU WAKE KWA JAMII AKIWA KAMA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA UMOJA WA VIJANA
UVCCM WILAYANI BUTIAMA MHOCHI BW. MHOCHI AMEWEZA KUCHANGIA KIASI CHA SHILINGI
LAKI 5,50,000 ILI KUSAIDIA UKARABATI WA KANISA HILO.
NAYE MCHUNGAJI
WA KANISA HILO WA KANISA HILO BW. JONATHAN MASATU AMETOA SHUKRANI KWA BW. MCHI
KWA MCHANGOWAKE AMBAO AMESEMA TUTAKUA SEHEMU YA UFANIKISHAJI WA MALENGO
WALIYOJIWEKEA.
JUMLA YA
SHILINGI MIL. 2, NA LAKI 9 ZIMETOLEWA KATIKA HARAMBEE HIYO YALIYOELEZWA KUVUKA
MALENGO YA AWALI AMBAYO WALITARAJIA KUCHANGA KIOASI CHA SH MIL. 2 LAKI NANE THEMANINI
ELFU.
0 comments:
Post a Comment