IMEANDALIWA NA KULETWA KWENU NA AHMAD
NANDONDE.
UNAMKUMBUKA ROBERT BAGIO
ROBERT BAGGIO ALIZALIWA
FEBRUARY 18 MWAKA 1967 NCHINI
ITALIA......HUKU AKIWA NI MCHEZAJI MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA SANA KWA TIMU YAKE
YA TAIFA AKIWA KAMA KIUNGO MSHAMBULIAJI.
KWA WATAKAOKUWA NA KUMBUKUMBU
NZURI NI KWAMBA KATIKA MCHEZO FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA HUKO NCHINI MAREKANI
MNAMO MWAKA 1994 MBALI NA KUCHEZA MPIRA MKUBWA NA WAKIWANGO CHA JUU LAKINI
ILIPOFIKA CHANGAMOTO YA MIKWAJU YA PENALT AMBAYO ILIKUWA NI MUHIMU MNO KWANI
KUKOSA KWAKE KULIWAPA BRASIL BAADA YA WAO KUMALIZIA PENALT YAO YA MWISHO NA
BRASIL KUIBUKA NA USHINDI.
WALIOWENGI WATAMKUMBUKA
MCHEZAJI HUYO KUTOKANA NA AINA YAKE YA KUZILAZA NYWELE ZAKE NA KISHA KUZISOKOTA
KWA KIFUNDO KIDOGO KWA NYUMA KITU KILICHOPELEKEA PIA KUJIZOLEA UMAARUFU MKUBWA
KWA AINA YAKE YA UTENGENEZAJI WAKE WA NYWELE MBALI NA USTADI MKUBWA KATIKA
KULIKANYAGA SOKA.
BAGGIO ALIWAHI PIA KUICHEZEA
TIMU YAKE YA TAIFA MICHEZO 56 NA KUFUNGA MABAO 27 NA ALIKUWA NI MFUNGAJI MAHARI
KUTOKEA KATIKA UKWAMISHAJI IPIRA WAVUNI KWA TIMU YAKE YA TAIFA.
NA KATIKA FAINALI ZA MWAKA
1990 AMBAZO ITALIA ILIFANIKIWA KUWA MSHINDI WA TATU BAGIO ALIKUWAMO KIKOSI HUKU
AKIISAIDIA TIMU YAKE BAADA YA KUMALIZA FAINALI HIZO HUKU YEYE AKIFUNGA MAGOLI
MAWILI TU.
MNAMO MWAKA 1994 KATIKA
MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA BAGIO ALIFANIKIWA KUIBEBA TIMU YAKE MPAKA HATUA YA
FAINAL AMBAYO ITALY ILIKUTANA NA BRASIL HUKU AKIIFUNGIA TIMU YAKE MAGOLI 5
NAHIVYO KUJIPATIA MPIRA WA SILVER BALL NA KIATU CHA SILVA KUFUATIA KUMALIZIKA
KWA MICHUANO HIYO YA KOMBE LA DUNIA MNAMO MWAKA 1994 JINA LA ROBERT BAGIO
LILIKUWA NI MIONGONI MWA WACHEZAJI WALIOITWA KWENYE TIU YA DUNIA ILIYOJULIKANA
KAMA ALL-STAR TEAM.
NA KATIKA MICHUANO YA KOMBE
LA DUNIA YA MWAKA 1998 NYOTA YAKE ILIANZA KUPOROMOKA KWANI ALIFUNGA MABAO 2 TU
HUKU AKIWA NI MCHEZAJI PEKEE KUWAHI KUTOKEA KATIKA TIMU YA TAIFA YA ITALIA
KUFUNGA MARA TATU ALIZOWAHI KUCHEZA KATIKA KOMBE LA DUNIA KWA VIPINDI VYA MWAKA
1990, 1994 AND 1998, NA KUCHUKUA REKODI KWA KUFUNGA MARA NYINGI KATIKA
CHANGAMOTO YA KOMBE LA DUNIA SANJARI NA WAITALIA WENZAKE KAMA PAOLO ROSSI AND
CHRISTIAN VIERI.
LAKINI KWA KLABU YEK NCHINI
ITALY BAGIO ALIKUWA NI MIONGONI MWA WAFUNGAJI WATATU WA JUU KABISA KATIKA
MASHINDANO YOTE AMBAPO KATIKA 2002 ALIKUWA NI MCHEZAJI WA KWANZA NCHINI ITALY
KUPATA KUTOKEA KWA KIPINDI CHA MIAKA 50 KWA KUFUNGA MAGOLI ZAIDI YA 300 MAGOLI
ALIYOSHINDA AMBAPO MBILI ILIKUWA NI KATIKA LIGI YA SERIE A, COPPA ITALIA NA
KOMBE LA UEFA, AKIWA NA TIMU TOFAUTI TOFAUTI SABA ALIZOWAHI KUZICHEZEA KWA
KIPINDI HICHO.
NA MNAMO MWAKA 1993, FIFA
ILIMTANGAZA BAGGIO KAMA MCHEZAJI WA MWAKA NA KUJINYAKULIA TUZO YA MCHEZAJI BORA
WA MWAKA DUNIANI AMBAYIO KWA SASA NDIYO HIYO INAYOWANIWA NA AKINA LIONEL MESS,
CHRISTIAN RONALDO NA FRANK RIBERY
AMBAYO SASA INATWA BALLON D'OR.
NA HATA MWAKA 2004, ALITAJWA
KUWA NI MIONGONI MWA WACHEZAJI 125 WAKUBWA KUSHEREHEKEA MIKA MIA YA SHIRIKISHO
LA SOKA 100TH ANNIVERSARY CELEBRATION.
MWAKA 2002 BAGIO ALITEULIWA
NA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA CHAKULA NA KILIMO KAMA BALOZI.
0 comments:
Post a Comment