`

Home » » JICHO LA MDADISI KWA RAHA ZAKO

JICHO LA MDADISI KWA RAHA ZAKO

Kijana mmoja aishie Tunduma alirudi nyumbani kwake akiwa amechoka na kazi za siku hiyo.

Moja kwa moja akaingia chumbani ili aweze kubadilisha nguo. Kabla hajaanza kubadili nguo mara akaja mgeni mmoja na kumwomba maji ya baridi.

Kwa kuwa hakuwa na friji kijana akamwacha mgeni wake sebuleni na kukimbia kuvuka barabara mpaka dukani ili akamnunulie mgeni wake maji baridi.

Wakati anavuka barabara ili arudi nyumbani, gari likaja kwa spidi na kumgonga yule kijana na kufa hapo hapo.

Nakuombea kwa wiki hii.

*Mgeni yoyote yule atakayekuja kwako akiwa ni kibaraka wa shetani kukuletea mauti ya mapema na asije.

*Shetani anayetaka kukuletea umauti hata ikumbuka nyumba yako wala mtaa wako.

*Hutafanya makosa yatakayo kuletea umauti.

*Hautakuwa na safari yoyote ile yenye umauti.

*Kifo hakitaitembelea familia yako.

*Neno kifo halitatamkwa kamwe mdomoni kwako.


0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK