Aidha, mbunge huyo wa Tabora Mjini CCM, atamtaja pia Mwandishi mwandamizi wa magazeti ya Bingwa na Dimba, Asha Muhaji kuwa Ofisa Habari mpya wa klabu hiyo ya Mtaa wa Msimbazi, nafasi ambayo inaachwa wazi na Kamwaga anayepanda cheo.
Habari kutoka ndani ya Simba SC, zimesema kwamba Rage atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari mchana wa leo Dar es Salaam kutaja wateuliwa hao wapya.
CHANZO: BIN ZUBEIR.
EZEKIEL KAMWAGA KATIBU MKUU MPYA SIMBA
ASHA MUHAJI MSEMAJI MPYA WA SIMBA
0 comments:
Post a Comment