HUU NDIYO UJUMBE WAKE:
DC TARIME (JOHN HENJEWELE) NAPENDA KUKUELEZA KUWA NIKO TAYARI KUFA NA KUZIKWA KWA KUSEMA UKWELI KAMA ULIVYOSEMA UNAWEZA KUNISHUGHULIKIA ETI TU NIMEKUWA NIKIANDIKA MAOVU UNAYODAIWA KUFANYA TARIME NA KITENDO KILICHOFANYWA NA WANANCHI WA NYAMONGO KUKUZOMEA KATIKA MKUTANO WA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NAPE NNAUYE KWA KUKUTUHUMU KULA ADA ZA WANAFUNZI ZILIZOTOLEWA NA MGODI WA NORTH MARA,NIKO TAYARI KUFA NA KWA LOLOTE UNALOTAKA KUNIFANYIA FANYA,NAFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI HIVYO HATA FAMILIA YANGU NIMEIWEKA TAYARI KWA LOLOTE KWANI UNALOKUSUDIA KUNIFANYIA WAKATI NIKILITETEA TAIFA LANGU,UJUMBE KAMA HUU PIA NIMEMPA MKUU WA MKOA JOHN TUPA PIA MH MIZENGO PINDA WAZIRI MKUU WA JMT.....
MKUU WA WILAYA YA TARIME BW. JOHN HENJEWELE
0 comments:
Post a Comment