`

Home » » AJALI MBAYA YAUA ASKARI WATANO DODOMA

AJALI MBAYA YAUA ASKARI WATANO DODOMA

Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea usiku huu majira ya sa nane na nusu ambapo gari ya ya polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe ya mapolis iliyokuwa inafanyika katika ukumbi wa mipango,

Gari hiyo ya polisi iliyokuwa imebeba mapolisi na ilikuwa inaelekea kongwa imegongana na basi ya Mohamedi katika eneo ambalo ni nje kidogo ya mji (Mitumba) ambapo wanawake wawili na wanaume wa tatu wamefariki papo hapo.

                  (PICHA) ZA GARI LILILOBEBA ASKARI HAO LIKIWA KATIKA HALI MBAYA



                          GARI WALILOPANDA ASKARI HAO LIKIWA NYAKA NYAKA

0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK