`

Home » » CHUJI AONEKANA TAIFA KWA MARA YA KWANZA TANGU ASIMAMISHWE NA KUONESHA ISHARA KUOMBA MSAMAHA MASHABIKI

CHUJI AONEKANA TAIFA KWA MARA YA KWANZA TANGU ASIMAMISHWE NA KUONESHA ISHARA KUOMBA MSAMAHA MASHABIKI

Kiungo Athumani Iddi 'Chuji' (kulia) aliibuka Uwanja wa Taifa jioni ya jana baada ya mechi ya timu yake Yanga SC dhidi ya Mbeya City kuwapongeza wachezaji wenzake kwa ushindi wa 1-0.

Chuji alikuwa mwenye furaha sana na aliwapungia mkono mashabiki kuwapa ishara ya kuomba msamaha, kufuatia kusimamishwa kwa zaidi ya mwezi mmoja kwa tuhuma za utovu wa nidhamu.

Mashabiki walimfurahia sana mtaalamu huyo wa pasi 'zenye macho' alipotokea Taifa.


                OTHMAN IDDY CHUJI KULIA AKIWA NA BEKI RAJABU ZAHIR KUSHOTO.

0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK