`

Home » » MASAU AELEKEA KIBLA AKIIRI KUWA KIPIGO WALICHOKIPATA TOKA KWA YANGA NI CHA HALALI

MASAU AELEKEA KIBLA AKIIRI KUWA KIPIGO WALICHOKIPATA TOKA KWA YANGA NI CHA HALALI

MASAU BWIRE msemaji wa timu ya ruvu shooting kabla ya mchezo wa leo aliapa lazima wawanyoe Yanga baada ya kuambulia kipigo cha goli saba hayo ndo yalikuwa maneno yake

''Nimekubal kuwa tumefungwa tena kihalal,refa alikuwa fair,tena nampongeza kwa kuchezesha vizuri, Yaliyotokea leo ni sawa na mtu aliyefumaniwa, ukifumaniwa nguvu zinakuishia hata mtoto mdogo anaweza kukupiga.

Vijana wetu hawajazoea mpira wa kufukuzana ovyo. Wamezoea mpira wa mipango na sio wa kupiga juu na kuanza mbio.

Yanga walicheza mpira wa kukimbia kimbia kama nguruwe pasipo na mipango nawashauri wajipange pindi wanapokutana na Al Ahly ya Misri"

                                            OKWIIIIIII BAO LA NNE YANGA 7- RUVU 0

0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK