TARIME:
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA
TARIME BW. VENUS MWAMENGO AMEPIGA
MARUFUKU WAFANYABIASHARA WANOUZA MAJI YA KUNYWA YAJULIKANAYO KWA JINA LA
PARRIS YANAYOTOKEA NCHI JIRANI YA KENYA KWA MADAI KUWA MAJI HAYO HAYANA UBORA WA VIWANGO VYA TBS.
MWAMBENGO AMESEMA KUWA MAJI HAYO
YAMEKUWA YAKILALAMIKIWA NA BAADHI YA WANANCHI WA MJI WA TARIME KUWA SI
SAFI NA SALAMA HUKU WENGINE WAKILALAMIKA KUHARISHA BAADA YA KUNYWA MAJI HAYO.
MKURUGENZI HUYO AMESEMA KUWA MBALI NA
MAJI HAYO KUWA SI SAFI NA SALAMA YAMEKUWA PIA YAKIINGIZWA KATIKA MJINI HUO
KINYEMERA AMBAPO UINGIZWA KWA NJIA YA USAFIRI WA BAISKERI YAKITOKEA KENYA BILA
KUPITISHWA BODA-SIRARI KWENYE MAMLAKA
YA MAPATO TRA.
AIDHA BAADHI YA WANANCHI WA MJINI TARIME
WAMEKILI KUWA MAJI HAYO SI SALAMA KWANI BAADHI YA MAKOPO MENGINE YA MAJI UKUTWA
YAKIWA NA UCHAFU.
HATA HIVYO BAADHI YA WAFANYABIASHARA WA
MAJI YA FARRISI WALISEMA KUWA MAJI HAYO NI SALAMA ILA NI WIVU TU KWA MAKAMPUNI
YA MAJI NAKWAMABA WAUZAJI UYANUUA
KWA BEI RAHISI AMBAPO BOKSI MOJA LA MAJI MAKUBWA NI 10,000 NA MADOGO
6500 UKU MAJI MAKUBWA YA TANZANIA AINA YA KILIMANJARO NA DASSAN KWA
BOKSI MOJA YAKIUZIWA 13,000, MADOGO 10,000 NA HIVYO KUWAINGIZIA HASARA.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,.
0 comments:
Post a Comment