`

Home » » WATU SABA WAJERUHIWA KATIKA AJALI MBAYA KATI YA LORI NA KIPANYA MKURANGA

WATU SABA WAJERUHIWA KATIKA AJALI MBAYA KATI YA LORI NA KIPANYA MKURANGA

WATU wanne wapo katika hali mbaya na wengine saba wamejeruhiwa baada ya lori scania namba T653 BFD (scania 380) kugongana uso kwa uso na baso dogo la abiria Toyota Hiace T613 CPG iliyokuwa inatoka mbagala kwenda mkuranga.

Kwa mujibu wa shuhuda ya ajali hiyo iliyotokea Mwandege, Dominic Kubhota, ameiambia blogu hii kuwa chanzo cha ajali hiyo ni ovateki isiyokuwa na mamcho wala akili iliyofanywa na dereva wa lori hilo.

Majeruhi hao wamefikishwa katika hospitali ya Mkuranga, lakini muda mfupi baadaye walianza kukimbizwa kuleta dare s salaam kw amatibabu zaidi.

                                                               TAZAMA AJALI HIYO KATIKA PICHA

0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK