Rais wa shirikisho la mpira miguu (TFF) Jamali Malinzi hii leo
alikuwa na mkutano wandishi wa habari kuwaeleza kile kilichofanywa na
uongozi wake tangu aingie madarakani katika uchaguzi uliofanyika october
27 mwaka jana ambapo ameelezea changamoto alizokutanazo tangu awepo
madarakani ambapo changamoto kubwa ilikuwa ni tiketi za elecritronic.
malinzi amesema mkataba walioingiua uongozi wa Tenga aliyemaliza
muda wake ulikuwa na mapungufu kutokana na kuitaka TFF kusimamia sehemu
kubwa ya mzigo wa kuendesha mradi huo ambapo unaonekana kama mzigo
mwingine kwa vilabu na shirikisho hilo.
0 comments:
Post a Comment