Mabingwa wa Tanzania, Yanga wameitembezea kipigo cha mbwa mwizi timu ya Komorozine de Domoni toka Comoro cha mabao 7-0.
Mabao ya Yanga yametiwa kimiani na Mrisho Ngassa (13,65,68), Didier Kavumbagu (58,81), Cannavaro (20) na Hamis Kiiza (59).
HAMIS KIIZA PICHANI (DIEGO) AKITUPIA BAO LA NNE.
0 comments:
Post a Comment