Air Tanzania jana usiku wameleta ndege nyingine 5Y-WWA aina ya CRJ200 ikiwa ni muendelezo wa kuboresha huduma zao za anga nchini Tanzania.
katika mwonekano mzuri baada ya kutua

wafanyakazi wa uwanja wa ndege katika pilika pilika za ujio wa ndege hiyo mpya
Jinsi inavyoonekana kwa ndani raha tupu
Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro akisalimia wana-Air Tanzania waliofika kuulaki ujio huo
wahudumu katika ndege hiyo wakizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro
wahudumu wakionekana wanadhifu wakati wa ujio wa pipa hilo
0 comments:
Post a Comment