Timu hiyo ya Ndanda Fc imepata Ushindi wa Magoli 2 – 1 katika mchezo huo uliochezwa leo uwanja wa Karume jijini dar es salaam.
Magoli ya Ndanda Fc yamefungwa na Amri Msumi Matokeo hayo ni faraja kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara ambao walikuwa wakiomba Timu yao ya Ndanda Fc iweze kushinda na Kupanda daraja na Kuweza kucheza Ligi kuu Tanzania Bara kwa Msimu ujao na Dua zao zimekubalika kwani Matokeo ya Africa Lyon na Green Wories imeifanya Timu ya Ndanda kuibuka Kidedea.
Hongereni Ndanda Fc
0 comments:
Post a Comment