NA AHMAD NANDONDE.
WAKALI WA MUZIKI WA HIP HOP WANATARAJI KUPAGAWISHA KATIKA SHOW MBILI TOFAUTI MBAPO KATIKA SHOW YA KWA ITAKUWA MJINI MUSOMA KWA KIINGILIO CHA BUKU 7 TU NDANI YA CLUB HOUSE TAREHE 30 JANUARY LAKINI KAMA HIYO HAITOSHI PIA WATAACHA GUMZO KATIKA UKUMBI WA J.J ULIOPO MJINI TARIME KWA KIIINGILIO CHA BUKU 6 TU TAREHE 31 JANUARY.
LAKIBNI MBALI NA SHOW HIYO PIA KUTAKUWA NA DISCO LA NGUVU TOKA KWA MA DJ WALIOBOBEA KATIKA KUCHANGANYA MUZIKI WA NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI NA HAPA N AMZUNGUMZIA DJ TIMBA NA DJ ABOU.
WADHAMINI KATIKA SHOW YA TARIME NI ZAKARIA BUS SERVICE KWA USAFIRI BORA, TARIME FILLING STATION NA BOMANI FILLNG STATION KWA MAFUTA SAFI YASIYO NA RISASI.
SHOW HIYO INASIMAMIWA NA NEW SPACE ENTERTAINMENT.
SIYO YA KUKOSA KAMA WEWE NI WA KIJANJA NA MPENDA BURUDANI
MWSIHOOOOO....
0 comments:
Post a Comment