`

Home » » LADY JAY DEE AFUNGUKA KILICHOMFANYA AACHANE NA MUMEWE

LADY JAY DEE AFUNGUKA KILICHOMFANYA AACHANE NA MUMEWE

GADNER G HABASH NA MKEWE  JAY DEE WAKATI WA NDOA YAO

LADYJAY DEE ASEMA HATUJA ACHANA NILIAMUA KUMUACHA
"Hatuja achana niliamua kumuacha.Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa inatakiwa iwe na maelewano,furaha,amani na upendo.ila kwa bahati mbaya vyote hivyo havikuwepo.

Sikuwa tayari kuendelea kuishi kwa maumivu huku niki pretend ili kuiridhisha jamii.sioni kujishushia heshima,ila naona nilikuwa najishushia heshima zaidi kuishi na mume asie na heshima,anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba.
Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini. Ukiachilia mbali vipigo.Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu.
Ushahidi ninao. .....niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia.Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso.
Unazungumziaje suala hili?

Chjanzo: East Africa Television (EATV)

0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK