WAKAZI WA MKOA WA MARA WAUAGA RASMI MWILI WA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN TUPPA ASUBUHI YA LEO.
MKE WA MAREHEMU JOHN TUPPA KATIKATI
MTOTO WA TATU MAREHEMU BW. GABRIEL JOHN TUPPA AKIWA KAMA MSEMAJI WA FAMILIA.
MAMA MARIA NYERERE NAYE ALIKUWEPO KATIKA KUUAGA MWILI.
MADARAKA NYERERE MWENYE NYWELE NDEFU NAYE ALIKUWAPO KUUAGA MWILI WA TUPPA.
GARI ILIYOTUMIKA KUUBEBA MWILI WA TUPPA
WANAFUZNI WA SHULE WAKIWA KATIKA FOLENI YA KUUAGA MWILI.
WANANCHI MBALI MBALI NAO WALIKUWEPO KATIKA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU JOHN TUPPA.
ASKOFU WA KANISA LA ROMAN CATHOLIC ASKARI WA JESHI NA WANANCHI WAKIELEKEA KUUAGA MWILI
RAIS WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KENETH SIMBEYA AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI.
0 comments:
Post a Comment