TANGAZO
WIKI
YA MAZIWA KITAIFA MWAKA 2014 NI MUSOMA MKOANI MARA.
OFISI
YA MKUU WA MKOA WA MARA INAPENDA KUWATAARIFU WAKAZI WOTE WA MKOA WA MARA NA
MAENEO MENGINE YA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MAADHIMISHIO YA WIKI YA MAZIWA AMBAYO
KITAIFA MWAKA HUU YANAFANYIKIA KATIKA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MKENDO KATIKA MANISPAA
YA MUSOMA SHULE YA MSINGI MKENDO.
MAONESHO
HAYO YA SIKU YA MAZIWA KWA MWAKA 2014 YATAANZA MNAMO TAREHE 29 MAY 2014 HADI
JUNE 1 MWAKA 2014.
RATIBA NI KAMA IFUATAVYO,
SIKU
|
MGENI RASMI
|
MAHALA
|
BURUDANI
|
MUDA
|
ALHAMIS MAY 29,
2014
|
UFUNGUZI -- MKUU
WA MKOA WA MARA
|
SHULE YA
MSINGI MKENDO
|
VIKUNDI MBALI
MBALI VYA NGOMA ZA ASILI, MUZIKI WA KIZAZI KIPYA N.K
|
MTAFAHAMISHWA
|
IJUMAA MAY 30,
2014
|
KUTAKUWA NA
KONGAMANO LA KUMI LA TAIFA LA KUENDELEZA TASNIA YA MAZIWA
|
UKUMBI WA
UWEKEZAJI MKOA
|
MTAFAHAMISHWA
|
|
JUMAMOSI MAY
31, 2014
|
KUTAKUWA NA MKUTANO
WA BARAZA LA WADAU WA MAZIWA
|
UKUMBI WA
UWEKEZAJI MKOA
|
MTAFAHAMISHWA
|
|
JUMAPILI JUNE,
MOSI 2014
|
KUFUNGA --
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MH. DK. TITUS KAMANI
|
SHULE YA
MSINGI MKENDO
|
WASANII MBALI MBALI
WA KIZAZI KIPYA KAMA BEST NASO, STAMINA BILA KUSAHAU VIKUNDI VYA NGOMA ZA
ASILI VITAHUSIKA PIA.
|
MTAFAHAMISHWA
|
KAULI
MBIU YA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZIWA KITAIFA KWA MWAKA 2014 Nl ‘‘FUGA NG’OMBE WA MAZIWA BORESHA KIPATO NA LISHE
BADILIKA SASA’’
WADAU
NA WANANCHI WOTE KWA UJUMLA MNAKARIBISHWA
IMETOLEWA NA OFISI YA
MKUU WA MKOA WA MARA.
0 comments:
Post a Comment