`

Home » » DULLY SYKES AWAPONDA WASANII WALIOPOTEA KWENYE GAME

DULLY SYKES AWAPONDA WASANII WALIOPOTEA KWENYE GAME

Unajua kwa Dully amesema wasanii wakongwe waliopotea kwenye game ni ujinga wao ndo umewaponza? Je amezungumza nini juu ya mitandao ya kijamii ilivyopelekea kazi za wasanii wakongwe kutokwenda mbali. 

Je unajua sababu ya mangwair kutomtaja Dully katika ngoma yake ya NAPOKEA SIMU? Je lll cool j amesemaje juu ya wasanii wapya wa marekani?

 hAYO YEMSEMWA NA DULLY KATIKA KIPNDI CHA THE SPLASH KINACHORUSHWA NA EBONY FM YA IRINGA

0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK