`

Home » » LAST WARNING NA KIBAO CHAO CHA MAMANGI WA KICHAGA USO KWA USO NA TUZO ZA KILL 2014.

LAST WARNING NA KIBAO CHAO CHA MAMANGI WA KICHAGA USO KWA USO NA TUZO ZA KILL 2014.

Kundi la last warning toka jijini arusa limeaahidi kuitwaa tuzo ya muziki wenye asili ya kitanzania katika tuzo za kili music awards mwaka huu.

Akizungumza na blog ya jicho la mdadisi mmoja wa wasanii wanaounda kundi hilo Inno mtoa lock amesema kuwa ni wazi kuwa wanayosababu ya kuvishukuru vyombo mbali mbali vya habari kwa sapot kubwa waliyoitoa katika na kufanikisha wanakua juu na pia hawakusita kutoa shukrani zao kwa watangazaji Ahmad Nandonde na Patrick Mwankale wa radio victoria kwa kufanikisha kundi hilo linasimama katika medan ya muziki huo hapa nchini kwa hivi sasa.

ameongeza kuwa suala la muziki kwa sasa ni suala gumu mnoa hivyo hadi kundi au msanii anakubalika ni wazi kuwa anatakiwa kupitia hali ya ugumu hivyo kwa hatua waliyofikia ni wajibu wakatanguliza shukrani zao kwa mwenyezi mungu.

hata hivyo akawaomba mashabiki wao kuwapigia kura za kutosha ili waweze kuibuka kidedea katika kinyang'anyiro hicho cha tuzo za killwamekuwa juu hivyo ni wazi pia kupitia hao hao.

WASANII WA KUNDI LA LAST WARNING KUSHOTO NI INNO MTOA LOCK
JINSI YA KUWAPIGIA LAST WARNING
NA HII NDO MACHAME MAHALA PALIPOTAJWA KATIKA HIYO NGOMA YA LAST WARING



0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK