MANJI KULIA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
ZAIDI
YA SHILINGI MILLION KUMI ZIMETOLEWA NA KAMPUNI YA QUALITY GROUP KWA AJILI YA KUUNGA MKONO
MIKAKATI YA SHIRIKISHO LA KATIKA KUENDELEZA MPIRA WA MIGUU NCHINI.
MCHANGO
HUO WA QUALITY GROUP UTATUMIKA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI ZA KUENDELEZA MPIRA
WA MIGUU NCHINI AMBAPO TUNAISHUKURU KAMPUNI HIYO KWA KUUNGA MKONO MIKAKATI
YETU.
0 comments:
Post a Comment