MASWA.
SERIKALI IMEMWONDOA
MADARAKANI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA, BI. HILDA LAUWO, NA
KWENDA KUWA MSHAURI WA MASUALA YA KIJAMII KATIKA OFISI YA KATIBU TAWALA WA MKOA
WA SHINYANGA.
KWA MUJIBU WA TAARIFA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU (TAMISEMI) ZILIZOTHIBITISHWA NA KATIBU MKUU, JUMANNE SAGINI, BI. LAUWO ANAHAMISHWA KWENDA OFISI YA RAIS NA NAFASI YAKE INACHUKULIWA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MERU, TRASIAS KAGENZI.
LAUWO AMEWAHI KUWA MKURUGENZI MTENDAJI KATIKA HALMASHAURI ZA WILAYA YA MWANGA MKOANI KILIMANJARO KABLA YA KUHAMISHIWA HALMASHAURI YA NAMTUMBO MKOA WA RUVUMA WA BAADA YA KUTOKEA MZOZO NA MADIWANI MAHALA AMBAPO PIA HAKUDUMU BAADA YA KUTOKEA TENA MZOZO NA MADIWANI HALI ILIYOPELEKEA KUHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA LUDEWA, MKOANI NJOMBE.

BAADA YA MAMBO PIA KUONESKANA
SI SHWARI KUTOKANA NA NA MIGOGORO INAYOFANANA MKURUGENZI HUYO ALIHAMISHIWA
KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA MKOA WA SIMIYU, AMBAKO PIA MIZOZO JUU
YAKE ILIENDELEA KUJITOKEZA KATI YAKE NA MADIWANI NA HATA MATUMIZI MABAYA YA
FEDHA NA MADARAKA HALI ILIYOPELEKEA WANANCHI KUMUOMBA WAZIRI MWANRI ALIYEKUWA
ZIARANI WILAYANI MASWA KUMUONDOA MKURUGENZI HUYO JUU YA MWENDENDO WAKE MBOVU.
MWISHO.
CHANZO: NIPASHE.
0 comments:
Post a Comment