`

Home » » RAIS KIKWETE ASEMA RASMU YA KATIBA IMEZINGATIA MAHITAJI YA MAKUNDI MBALI MBALI SOMA ZAIDI........

RAIS KIKWETE ASEMA RASMU YA KATIBA IMEZINGATIA MAHITAJI YA MAKUNDI MBALI MBALI SOMA ZAIDI........

NA AHMAD NANDONDE

DODOMA.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BW. JAKAYA MRISHO KIKWETE AMEWAPONGEZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA KWA KUKAMILISHA MCHAKATO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA KUSEMA KUWA RASMU HIYO IMEZINGATIA MAHITAJI YA MAKUNDI MBALI MBALI.

AKISOMA HOTUBA YAKE LEO MJINI DODOMA RAIS KIKWETE AMESEMA KWA KUTAMBUA UMUHIMU WA MWANAMKE RASMU YA KATIBA HIYO IMEZINGATIA KILA KUNDI KWA KUTAZAMA HAKI ZA WAKULIMA, WAFUGAJI, WAZEE, VIJANA, WALEMAVU, WATOTO, WASANII, HAKI YA DINI KUHESHIMIWA KILINDWA NA HAKI ZA WANAWAKE KWA KUZIFAFANUA NA KUZIJALI NA KUZITHAMNI.

RAIS KIKWETE AMESEMA KUTOKANA NA WANAWAKE WENGI NCHINI KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI NI WAZI KUWA KUWA UJIO WA KATIBA MPYA UTASAIDIA WANANWAKE KUONDOKANA NA VITENDO VIOVU.

KIKWETE AMESEMA KUWA KATIBA INATAMBUA HAKLI YA WANAWAKE KUPATA KUMILIKI KENDELEZA NA KUSIMAMIA ARDHI KWA MASHARTI KAMA WALIYOJIPATIA WANAUME KUWA ARDHI INAMILIKIWA NA MWANAUME PEKEE.


AWALI AKISOMA HOTUBA YAKE RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR DK. MOHAMMED ALLY SHEIN AM,ESEMA KUWA KUFUATIA KUPITISHWA KWA RASMU HIYO AMESEMA KATIBA HIYO ILIYOPENDEKEZWA ITAENDELEA USHIRIKIANO NA RAIS KIKWETE KATIKA KUENDELEZA AMANI NA MSHIKAMANO ILI KUHAKIKISHA MUUNGANO HUO UNADUMISHWA.


AIDHA AMESEMA KUWA KUPITISHWA KWA RASMU HIYO YA PILI SASA NI WAZI KUWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR INAKUWEPO NA MUUNGANO UNAKUWEPO KWANI MUUNGANO HUO NI KINGA KWA BARA NA VISIWANI NA NI MSINGI WA DHATI WA KUENDELEZA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.


HATA HIVYO HIVYO RAIS SHEIN AKWAOMBA WAZANZIBAR KUPIGIPIGIA KURA RASMU HIYO YA KATIBA.
 

MWISHO..

0 comments:

Post a Comment

 
Designed By | Wishes co |
Copyright © 2014. Jicho La Mdadisi - All Rights Reserved
Template Modify by
Proudly powered by Wishes INK